Mathayo 25:38 - Swahili Revised Union Version38 Tena ni lini tulipokuona ukiwa mgeni, tukakukaribisha, au ukiwa uchi, tukakuvika? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvisha nguo? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvika? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Tena ni lini tulipokuona ukiwa mgeni, tukakukaribisha, au ukiwa uchi, tukakuvika? Tazama sura |