Mathayo 23:12 - Swahili Revised Union Version12 Na yeyote atakayejikweza, atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili, atakwezwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Anayejikweza atashushwa, na anayejishusha atakwezwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Na yeyote atakayejikweza, atadhiliwa; na yeyote atakayejidhili, atakwezwa. Tazama sura |