Mathayo 22:6 - Swahili Revised Union Version6 nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua. Tazama sura |