Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 17:8 - Swahili Revised Union Version

8 Wakainua macho yao, wasione mtu ila Yesu peke yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Wakainua macho yao, wasione mtu ila Yesu peke yake.

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaja, akawagusa, akasema, Inukeni, wala msiogope.

Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.

Mara hiyo walipotazama huku na huku, hawakuona mtu pamoja nao ila Yesu peke yake.

Na sauti hiyo ilipokwisha, Yesu alionekana yu peke yake. Nao wakanyamaza, wasitangaze kwa mtu siku zile lolote katika hayo waliyoyaona.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo