Mathayo 15:21 - Swahili Revised Union Version21 Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Isa aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Isa aliondoka mahali pale, akaenda sehemu za Tiro na Sidoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni. Tazama sura |