Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 14:30 - Swahili Revised Union Version

30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, akapaza sauti na kusema, “Bwana, niokoe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Lakini alipoona upepo mkali aliingiwa na hofu, naye akaanza kuzama, huku akipiga kelele, “Bwana Isa, niokoe!”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.

Tazama sura Nakili

Mathayo 14:30
17 Marejeleo ya Msalaba  

Hata asubuhi na mapema mtumishi wake yule mtu wa Mungu alipoondoka, na kwenda nje, kumbe! Pana jeshi la watu, na farasi na magari, wameuzingira mji ule. Mtumishi wake akamwambia, Ole wetu! Bwana wangu, tufanyeje?

BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.

Akasema, Njoo. Petro akashuka katika mashua, akatembea juu ya maji, ili kumwendea Yesu.

Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?

Kesheni na kuomba, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo