Mathayo 14:14 - Swahili Revised Union Version14 Yesu akatoka, akaona mkutano mkuu, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Isa alipofika kando ya bahari, aliona makundi makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Isa alipofika kando ya bahari, aliona makutano makubwa ya watu, akawahurumia na akawaponya wagonjwa wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Yesu akatoka, akaona mkutano mkuu, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao. Tazama sura |