Mathayo 13:50 - Swahili Revised Union Version50 na kuwatupa katika tanuri ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 na kuwatupa hao wabaya katika tanuri ya moto. Huko watalia na kusaga meno.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 na kuwatupa hao wabaya katika tanuri ya moto. Huko watalia na kusaga meno.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 na kuwatupa hao wabaya katika tanuri ya moto. Huko watalia na kusaga meno.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Nao watawatupa hao waovu katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Nao watawatupa hao waovu katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 na kuwatupa katika tanuri ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Tazama sura |