Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 11:13 - Swahili Revised Union Version

13 Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Mafundisho yote ya manabii na sheria mpaka wakati wa Yohane yalibashiri juu ya nyakati hizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri hadi wakati wa Yahya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yahya.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Kwa maana manabii wote na Torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.

Tazama sura Nakili




Mathayo 11:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.


Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu huuteka.


Na ikiwa mnataka kukubali, yeye ndiye Eliya atakayekuja.


Akaanza kutoka Musa na manabii wote, akawaeleza katika maandiko yote mambo yaliyomhusu yeye mwenyewe.


Kisha akawaambia, Hayo ndiyo maneno yangu niliyowaambia nilipokuwa ningali pamoja nanyi, ya kwamba ni lazima yatimizwe yote niliyoandikiwa katika Torati ya Musa, na katika vitabu vya Manabii na Zaburi.


Kwa maana wakaao Yerusalemu, na wakuu wao, kwa kuwa hawakumjua yeye, wala maneno ya manabii yanayosomwa kila sabato, wameyatimiza kwa kumhukumu.


Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria; inashuhudiwa na Torati na Manabii;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo