Mathayo 10:27 - Swahili Revised Union Version27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinongonezwa, litangazeni hadharani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinongonezwa, litangazeni hadharani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ninalowaambieni nyinyi katika giza, lisemeni katika mwanga; na jambo mlilosikia likinong'onezwa, litangazeni hadharani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinong’onwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ninalowaambia gizani, ninyi lisemeni mchana peupe. Na lile mnalosikia likinong’onwa masikioni mwenu, lihubirini juu ya nyumba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba. Tazama sura |