Matendo 9:4 - Swahili Revised Union Version4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona wanitesa? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Akaanguka chini na kusikia sauti ikimwambia: “Saulo, Saulo! Kwa nini unanitesa?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona wanitesa? Tazama sura |