Matendo 9:29 - Swahili Revised Union Version29 Akahubiri kwa jina la Bwana kwa ushujaa, akinena na kuhojiana na Wayahudi wa Kigiriki. Nao wakajaribu kumwua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Pia aliongea na kubishana na Wayahudi wanaoongea Kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Alinena na kuhojiana na Wayahudi wenye asili ya Kiyunani, lakini wao walijaribu kumuua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Alinena na kuhojiana na Wayahudi wenye asili ya Kiyunani lakini wao walijaribu kumuua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Akahubiri kwa jina la Bwana kwa ushujaa, akinena na kuhojiana na Wayahudi wa Kigiriki. Nao wakajaribu kumwua. Tazama sura |