Matendo 9:12 - Swahili Revised Union Version12 naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 na katika maono ameona mtu aitwaye Anania akiingia ndani na kumwekea mikono ili apate kuona tena.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 katika maono amemwona mtu aitwaye Anania akija na kuweka mikono juu yake ili apate kuona tena.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 naye amemwona mtu, jina lake Anania, akiingia, na kumwekea mikono juu yake, apate kuona tena. Tazama sura |