Matendo 21:9 - Swahili Revised Union Version9 Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Alikuwa na binti wanne ambao walikuwa na kipaji cha unabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Filipo alikuwa na binti wanne mabikira waliokuwa wanatoa unabii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Mtu huyu alikuwa na binti wanne, mabikira, waliokuwa wakitabiri. Tazama sura |