Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Matendo 2:25 - Swahili Revised Union Version

25 Maana Daudi ataja habari zake, Nilimwona Bwana mbele yangu siku zote, Kwa kuwa yuko upande wa mkono wangu wa kulia, nisitikisike.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Maana Daudi alisema juu yake hivi: ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima; yuko nami upande wangu wa kulia hata sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa maana Daudi asema hivi kumhusu: “ ‘Nilimwona Bwana mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa maana Daudi asema kumhusu yeye: “ ‘Nalimwona Bwana Mwenyezi mbele yangu daima. Kwa sababu yuko mkono wangu wa kuume, sitatikisika.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Maana Daudi ataja habari zake, Nilimwona Bwana mbele yangu siku zote, Kwa kuwa yuko upande wa mkono wangu wa kulia, nisitikisike.

Tazama sura Nakili

Matendo 2:25
15 Marejeleo ya Msalaba  

Maana atasimama mkono wa kulia wa mhitaji Amwokoe kutoka kwa wanaoihukumu nafsi yake.

Bwana yu mkono wako wa kulia; Atawaponda wafalme, Siku ya ghadhabu yake.

Kwa kuwa mfalme humtumainia BWANA, Na kwa fadhili zake Aliye Juu hatatikisika.

Nami nilipofanikiwa nilisema, Sitaondoshwa milele.

Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika.

Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika.

Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kulia.

Kwa maana mimi, BWANA, Mungu wako, nitakushika mkono wako wa kulia, nikikuambia, Usiogope; mimi nitakusaidia.

Na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu, wakiishi katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.

Tazama, saa inakuja, naam, imekwisha kuja, ambapo mtatawanyika kila mmoja kwao kwao, na kuniacha mimi peke yangu; lakini mimi siko peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.

Kwa hiyo moyo wangu ukapendezewa, ulimi wangu ukafurahi; Tena mwili wangu nao utakaa katika matumaini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo