Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Matendo 15:30 - Swahili Revised Union Version

30 Hata hao wakiisha kupewa ruhusa wakateremka kwenda Antiokia; na baada ya kuwakusanya jamii yote wakawapa ile barua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Hivyo wakaagwa, wakashuka kwenda Antiokia. Baada ya kulikusanya kundi la waumini pamoja, wakawapa ile barua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Hivyo wakaagwa, wakashuka kwenda Antiokia. Baada ya kulikusanya kundi lote la waumini pamoja, wakawapa ile barua.

Tazama sura Nakili




Matendo 15:30
9 Marejeleo ya Msalaba  

Basi wale waliotawanyika kwa sababu ya ile dhiki iliyotukia kwa habari ya Stefano, wakasafiri hadi Foinike na Kipro na Antiokia, wasilihubiri lile neno ila kwa Wayahudi peke yao.


Lakini baadhi ya hao walikuwa watu wa Kipro na Kirene, nao walipofika Antiokia wakasema na Wayahudi wa Kigiriki, wakihubiri Habari Njema za Bwana Yesu.


Siku zizo hizo manabii waliteremka kutoka Yerusalemu hadi Antiokia.


Basi ikawapendeza mitume na wazee na kanisa lote kuwachagua watu miongoni mwao na kuwatuma Antiokia pamoja na Paulo na Barnaba; nao ni hawa, Yuda aliyeitwa Barsaba, na Sila, waliokuwa watu wakuu katika ndugu. Wakaandika hivi na kupeleka kwa mikono yao,


Nao walipokwisha kuisoma wakafurahi kwa ajili ya faraja ile.


Basi walipokuwa wakipita kati ya miji ile, wakawapa zile amri zilizoamriwa na mitume na wazee walioko Yerusalemu, ili wazishike.


Basi, ni nini? Bila shaka watasikia kwamba umekuja.


Na wale walipofika Kaisaria, na kumpa mtawala ile barua, wakamweka Paulo mbele yake.


Wale Kumi na Wawili wakawaita jamii ya wanafunzi, wakasema, Haipendezi sisi kuliacha neno la Mungu na kuhudumu mezani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo