Marko 8:3 - Swahili Revised Union Version3 nami nikiwaaga waende zao nyumbani kwao wakiwa na njaa, watazimia njiani; na baadhi yao wametoka mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia njiani, maana baadhi yao wametoka mbali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia njiani, maana baadhi yao wametoka mbali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nikiwaacha waende nyumbani wakiwa na njaa watazimia njiani, maana baadhi yao wametoka mbali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nikiwaaga waende nyumbani bila kula, watazimia njiani kwa sababu baadhi yao wametoka mbali.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 nami nikiwaaga waende zao nyumbani kwao wakiwa na njaa, watazimia njiani; na baadhi yao wametoka mbali. Tazama sura |