Marko 8:28 - Swahili Revised Union Version28 Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine, Eliya; wengine, Mmojawapo wa manabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na bado wengine husema wewe ni mmoja wa manabii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na bado wengine husema wewe ni mmojawapo wa manabii.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine, Eliya; wengine, Mmojawapo wa manabii. Tazama sura |