Marko 7:2 - Swahili Revised Union Version2 wakaona wengine katika wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najisi, yaani, isiyonawiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wakawaona baadhi ya wanafunzi wake wakila chakula kwa mikono iliyo najisi, yaani bila kunawa kama ilivyotakiwa na Torati ya Wayahudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wakawaona baadhi ya wanafunzi wake wakila chakula kwa mikono iliyo najisi, yaani, bila kunawa kama ilivyotakiwa na Torati ya dini ya Wayahudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 wakaona wengine katika wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najisi, yaani, isiyonawiwa. Tazama sura |