Marko 7:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake, Tazama sura |