Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 6:24 - Swahili Revised Union Version

24 Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane Mbatizaji.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Yule binti akatoka nje, akaenda kumuuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akamjibu, “Omba kichwa cha Yahya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Yule binti akatoka nje, akaenda kumuuliza mama yake, “Niombe nini?” Mama yake akamjibu, “Omba kichwa cha Yahya.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tazama sura Nakili

Marko 6:24
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie, Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, anipe mkate nile, akaandae chakula machoni pangu nikione, nikakile mkononi mwake.

Kama watu wa hemani mwangu hawakunena, Ni nani awezaye kumpata mtu asiyeshibishwa na yeye kwa nyama?

Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka.

Asiye haki hunuia mabaya juu ya mwenye haki, Na kumsagia meno yake.

Wasio haki wamefuta upanga na kupinda uta, Wamwangushe chini maskini na mhitaji, Na kuwaua wenye mwenendo wa unyofu.

Naye, huku akichochewa na mamaye, akasema, Nipe hapa katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Yudea, na kusema,

Akamwapia, lolote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu.

Mara akaingia kwa haraka mbele ya mfalme, akaomba akisema, Nataka unipe sasa hivi katika kombe kichwa cha Yohana Mbatizaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo