Marko 6:23 - Swahili Revised Union Version23 Akamwapia, lolote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Tena akamwapia, “Chochote utakachoniomba, nitakupa; hata ikiwa ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Tena akamwahidi kwa kiapo, akamwambia, “Chochote utakachoomba nitakupa, hata kama ni nusu ya ufalme wangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Akamwapia, lolote utakaloniomba nitakupa, hata nusu ya ufalme wangu. Tazama sura |