Marko 5:27 - Swahili Revised Union Version27 Aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake; Tazama sura |