Marko 5:25 - Swahili Revised Union Version25 Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mmojawapo alikuwa mwanamke mwenye ugonjwa wa kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hapo palikuwa na mwanamke aliyekuwa amesumbuliwa na tatizo la kutokwa damu kwa miaka kumi na miwili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, Tazama sura |