Marko 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Isa akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Isa akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati. Tazama sura |