Marko 15:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ilikuwa desturi wakati wa Sikukuu ya Pasaka kumfungulia mfungwa yeyote ambaye watu wangemtaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi wakati wa sikukuu huwafungulia mfungwa mmoja, wamwombaye. Tazama sura |