Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 15:41 - Swahili Revised Union Version

41 hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwako wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye hadi Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwepo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

41 hao ndio waliofuatana naye huko Galilaya, na kumtumikia; na wengine wengi waliopanda pamoja naye mpaka Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Marko 15:41
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya hadi katika mlima ule aliowaagiza Yesu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo