Marko 15:35 - Swahili Revised Union Version35 Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni, anamwita Ilya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni anamwita Ilya.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya. Tazama sura |