Marko 12:3 - Swahili Revised Union Version3 Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, bila chochote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wale wakulima wakamkamata, wakampiga, wakamrudisha mikono mitupu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini wale wakulima walimkamata yule mtumishi, wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Wakamtwaa, wakampiga, wakamtoa nje, bila chochote. Tazama sura |