Marko 12:18 - Swahili Revised Union Version18 Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Masadukayo ambao husema kwamba hakuna ufufuo walimwendea Yesu, wakamwuliza, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kisha Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kisha Masadukayo, watu wasemao ya kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza na kusema, Tazama sura |