Marko 11:19 - Swahili Revised Union Version19 Na kulipokuwa jioni alitoka mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Ilipokuwa jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Ilipokuwa jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Ilipokuwa jioni, Yesu na wanafunzi wake waliondoka mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Ilipofika jioni, Isa na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Ilipofika jioni, Isa na wanafunzi wake wakatoka nje ya mji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Na kulipokuwa jioni alitoka mjini. Tazama sura |