Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 10:7 - Swahili Revised Union Version

7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe;

Tazama sura Nakili

Marko 10:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo