Marko 10:26 - Swahili Revised Union Version26 Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka? Tazama sura |