Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 10:25 - Swahili Revised Union Version

25 Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu ya sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Marko 10:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.

Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoadoa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya.

Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.

Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka?

Kwa maana ni rahisi ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo