Marko 10:15 - Swahili Revised Union Version15 Amin, nawaambieni, yeyote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia humo.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia humo.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia humo.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mwenyezi Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Amin, nawaambieni, yeyote asiyeukubali ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hatauingia kabisa. Tazama sura |