Marko 10:10 - Swahili Revised Union Version10 Ndipo nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza juu ya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza juu ya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza juu ya jambo hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Walipokuwa tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza kuhusu jambo hili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Ndipo nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo. Tazama sura |