Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Maombolezo 4:1 - Swahili Revised Union Version

1 Jinsi dhahabu ilivyoacha kung'aa, Na dhahabu iliyo safi ilivyobadilika! Mawe ya patakatifu yametupwa Mwanzo wa kila njia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Jinsi gani dhahabu yetu ilivyochujuka, dhahabu safi kabisa ilivyobadilika! Mawe ya thamani yametawanywa yamesambaa barabarani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Jinsi gani dhahabu yetu ilivyochujuka, dhahabu safi kabisa ilivyobadilika! Mawe ya thamani yametawanywa yamesambaa barabarani kote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Jinsi gani dhahabu yetu ilivyochujuka, dhahabu safi kabisa ilivyobadilika! Mawe ya thamani yametawanywa yamesambaa barabarani kote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Jinsi dhahabu ilivyopoteza mng’ao wake, dhahabu iliyo safi haing’ai! Vito vya thamani vimetawanywa kwenye mwanzo wa kila barabara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Jinsi dhahabu ilivyopoteza mng’ao wake, dhahabu iliyo safi haing’ai! Vito vya thamani vimetawanywa kwenye mwanzo wa kila barabara.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Jinsi dhahabu ilivyoacha kung'aa, Na dhahabu iliyo safi ilivyobadilika! Mawe ya patakatifu yametupwa Mwanzo wa kila njia.

Tazama sura Nakili

Maombolezo 4:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mji huu uliokuwa mwaminifu umekuwaje kahaba! Yeye aliyejaa hukumu ya haki; haki ilikaa ndani yake, bali sasa wauaji!

Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa!

Akaiteketeza nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme; na nyumba zote za Yerusalemu, naam, kila nyumba kubwa aliiteketeza kwa moto.

Inuka, ulalamike usiku, Mwanzo wa mikesha yake; Mimina moyo wako kama maji usoni pa Bwana; Umwinulie mikono yako; Kwa uhai wa watoto wako wachanga wazimiao kwa njaa, Mwanzo wa kila njia kuu.

Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa taka za fedha kwangu; wote wamekuwa shaba, na bati, na chuma, na risasi, katika tanuri; wamekuwa taka za fedha.

Kwa ajili ya hayo nitafanya Samaria kuwa kama chungu katika shamba, na kama miche ya shamba la mizabibu; nami nitayatupa mawe yake bondeni, nami nitaifunua misingi yake.

Naye akajibu akawaambia, Hamyaoni haya yote? Amin, nawaambieni, Halitasalia hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Yesu akajibu, akamwambia, Wayaona majengo haya makubwa? Halitabaki hapa jiwe juu ya jiwe ambalo halitabomolewa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo