Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Maombolezo 3:66 - Swahili Revised Union Version

66 Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

66 Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize, uwafanye watoweke ulimwenguni.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

66 Wafuatilie katika hasira na uwaangamize chini ya mbingu za Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

66 Wafuatilie katika hasira na uwaangamize kutoka chini ya mbingu za bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

66 Utawafuatia kwa hasira, na kuwaangamiza Wasiwe tena chini ya mbingu za BWANA.

Tazama sura Nakili




Maombolezo 3:66
14 Marejeleo ya Msalaba  

Wala BWANA hakusema ya kwamba atalifuta jina la Israeli litoke chini ya mbingu; lakini akawaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi.


Mbingu ni mbingu za BWANA, Bali nchi amewapa wanadamu.


Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa BWANA akiwaangusha chini.


Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa BWANA akiwafuatia.


Kama ningalisema, Nitasimulia kama hayo; Kumbe! Ningaliwadanganya kizazi cha wana wako.


Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;


BWANA asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?


Mtawaambia hivi, Miungu hiyo isiyofanya mbingu na nchi, hiyo itaangamia katika nchi, nayo itatoweka chini ya mbingu.


Ee BWANA, unajua wewe; unikumbuke, unijie, ukanilipizie kisasi juu yao wanaoniudhi; usiniondoe kwa uvumilivu wako; ujue ya kuwa ni kwa ajili yako nilivyopatikana na matukano.


Umetufunika kwa hasira na kutufuatia; Umeua, wala hukuona huruma.


Israeli ameyatupa yaliyo mema; adui watamfuatia.


Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha BWANA, Mungu wako, katika adui zako wote walio kandokando, katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.


BWANA hatamsamehe mtu huyo, lakini wakati huo hasira ya BWANA na wivu wake vitafuka moshi juu ya mtu yule, na laana yote iliyoandikwa katika kitabu hiki itamkalia juu yake, na BWANA atalifuta jina lake chini ya mbingu.


Na wafalme wao atakutilia mkononi mwako, nawe utalipoteza jina lao litoke chini ya mbingu; hapana mtu atakayeweza kusimama mbele yako, hata utakapokwisha kuwaangamiza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo