Maombolezo 3:59 - Swahili Revised Union Version59 Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee BWANA; Unihukumie neno langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema59 Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND59 Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza59 Umeuona uovu niliotendewa ee Mwenyezi-Mungu, uniamulie kwa wema kisa changu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu59 Umeona, Ee Mwenyezi Mungu, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu59 Umeona, Ee bwana, ubaya niliotendewa. Tetea shauri langu! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI59 Umekuona kudhulumiwa kwangu, Ee BWANA; Unihukumie neno langu. Tazama sura |