Maombolezo 3:55 - Swahili Revised Union Version55 Nililiitia jina lako, BWANA, kutoka lile shimo Liendalo chini kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 “Kutoka chini shimoni nilikulilia ee Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Nililiitia jina lako, Ee Mwenyezi Mungu, kutoka vina vya shimo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Nililiitia jina lako, Ee bwana, kutoka vina vya shimo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI55 Nililiitia jina lako, BWANA, kutoka lile shimo Liendalo chini kabisa. Tazama sura |