Maombolezo 3:51 - Swahili Revised Union Version51 Jicho langu lanitia huzuni nafsini mwangu, Kwa ajili ya kuangamizwa kwa binti wa watu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Nalia na kujaa majonzi, kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Nalia na kujaa majonzi, kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Nalia na kujaa majonzi, kuona yaliyowapata kina mama wa mji wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Lile ninaloliona huniletea huzuni nafsini kwa sababu ya wanawake wote wa mji wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI51 Jicho langu lanitia huzuni nafsini mwangu, Kwa ajili ya kuangamizwa kwa binti wa watu wangu. Tazama sura |