Maombolezo 3:50 - Swahili Revised Union Version50 Hata BWANA atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 mpaka Mwenyezi-Mungu kutoka huko mbinguni aangalie chini na kuona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 hadi Mwenyezi Mungu atazame chini kutoka mbinguni na kuona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 hadi bwana atazame chini kutoka mbinguni na kuona. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI50 Hata BWANA atakapoangalia Na kutazama toka mbinguni. Tazama sura |