Maombolezo 3:47 - Swahili Revised Union Version47 Hofu imetujilia na shimo, Ukiwa na uharibifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Kitisho na hofu vimetuandama, tumepatwa na maafa na maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Kitisho na hofu vimetuandama, tumepatwa na maafa na maangamizi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Kitisho na hofu vimetuandama, tumepatwa na maafa na maangamizi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Tumeteseka kwa hofu kuu na shida ya ghafula, uharibifu na maangamizi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI47 Hofu imetujilia na shimo, Ukiwa na uharibifu. Tazama sura |