Maombolezo 3:32 - Swahili Revised Union Version32 Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Ingawa atufanya tuhuzunike, atakuwa na huruma tena kadiri ya wingi wa fadhili zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Ingawa huleta huzuni, ataonesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Ingawa huleta huzuni, ataonyesha huruma, kwa kuwa upendo wake usiokoma ni mkuu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Maana ajapomhuzunisha atamrehemu, Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake. Tazama sura |