Luka 8:55 - Swahili Revised Union Version55 Roho yake ikamrejea, naye mara hiyo akasimama. Akaamuru apewe chakula. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Roho yake ikamrudia, akaamka mara. Yesu akaamuru wampe chakula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI55 Roho yake ikamrejea, naye mara hiyo akasimama. Akaamuru apewe chakula. Tazama sura |