Luka 5:2 - Swahili Revised Union Version2 akaona mashua mbili zimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 akaona mashua mbili zimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao. Tazama sura |