Luka 5:16 - Swahili Revised Union Version16 Lakini yeye alikuwa akijiepua, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akaomba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini yeye alikwenda zake mahali pasipo na watu, akawa anasali huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini mara kwa mara Isa alijitenga nao ili kwenda mahali pa faragha kuomba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Lakini yeye alikuwa akijitenga, akaenda mahali pasipokuwa na watu, akaomba. Tazama sura |