Luka 4:31 - Swahili Revised Union Version31 Akashuka mpaka Kapernaumu, mji wa Galilaya, akawa akiwafundisha siku ya sabato; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kisha Yesu akashuka mpaka Kafarnaumu wilayani Galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kisha Isa akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kisha Isa akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Akashuka mpaka Kapernaumu, mji wa Galilaya, akawa akiwafundisha siku ya sabato; Tazama sura |