Luka 23:6 - Swahili Revised Union Version6 Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Pilato aliposikia hayo, akauliza, “Je, mtu huyu ni mwenyeji wa Galilaya?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Pilato aliposikia hayo akauliza kama huyo mtu alikuwa Mgalilaya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Pilato aliposikia hayo akauliza, “Huyu mtu ni Mgalilaya?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Pilato aliposikia hayo aliuliza kama huyu ni mtu wa Galilaya. Tazama sura |