Luka 23:16 - Swahili Revised Union Version16 Kwa hiyo nitamrudi, kisha nitamfungua. [ Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.” [ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.” [ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hivyo, nitaamuru apigwe viboko, halafu nitamwachilia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachilia.” [ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa hiyo nitaamuru apigwe mijeledi na kumwachia.” [ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Kwa hiyo nitamrudi, kisha nitamfungua. [ Tazama sura |